News

Posted On: Oct 07, 2021

Mwenyekiti wa huduma kwa wanachama CPA FARU NURDIN na Wahasibu na Wakaguzi wa NSSF wakijadili masuala yahusuyo taaluma hiyo katika Makao Makuu ya ofisi za NSSF jijini Dar es Salaam.

News Images

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Prof. Riziki Shemdoe (wa tatu kutoka kulia) akiwa na Viongozi wa Chama cha Wahasibu Tanzania (TAA) ,Wa pili kushoto ni Makamu wa Rais wa Chama cha Wahasibu Tanzania (TAA) CPA Victorius Kamuntu akifuatiwa na Mhazini wa Chama CPA NipaNeema Materu na muwakilishi kutoka KPMG (wa pili kulia) CPA Clemence Marandu..