Frequently Asked Questions

Je, kuna upendeleo maalumu kwa waombaji walemavu au wenye mahitaji maalumu??

Hakuna upendeleo wowote kinachoangaliwa ni vigezo vya kitaalum vilivyowekwa kwa waombaji wote. Sifa na masharti kuzingatiwa kwa watu wote.

Je kama mimi nimesoma nje ya nchi na nina Cheti/Diploma ya Uhasibu/Stashahada ya juu katika Uhasibu/Shahada ya Uhasibu, naruhusiwa kujisajili.??

Ndio unaruhusiwa kujiunga muhimu kuwepo na vithibitisho vya uhalali wa vyeti vyako vya kitaaluma.

Je, machapisho ya TAA na nyenzo za kujifunzia zinapatikana wapi??

Machapisho yanapatikana katika website yetu na pia katika ofisi zetu zilizopo Mhasibu House, Bibi Titi Mohammed Street .

Nataka kujisajili na taasisi. Je nitapata wapi fomu??

Unaweza kupata fomu kwa website yetu kwa kudownload au moja kwa moja katika ofisi zetu zilizopo Mhasibu House
Download Form.