Frequently Asked Questions
Je kama mimi nimesoma nje ya nchi na nina Cheti/Diploma ya Uhasibu/Stashahada ya juu katika Uhasibu/Shahada ya Uhasibu, naruhusiwa kujisajili.??
Ndio unaruhusiwa kujiunga muhimu kuwepo na vithibitisho vya uhalali wa vyeti vyako vya kitaaluma