Frequently Asked Questions

Je, kuna upendeleo maalumu kwa waombaji walemavu au wenye mahitaji maalumu??

Hakuna upendeleo wowote kinachoangaliwa ni vigezo vya kitaalum vilivyowekwa kwa waombaji wote. Sifa na masharti kuzingatiwa kwa watu wote