Event Details

  • Home
  • Ava Santiago wine celebrates love, AVA is LOVE!
Ava Santiago wine celebrates  love, AVA is LOVE!

Ava Santiago wine celebrates love, AVA is LOVE!

Mkurugenzi wa Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania CPA Pius Maneno na Rais wa Chama cha Wahasibu Tanzania CPA Godvictor Lyimo leo tarehe 13/04/2022 wamefanya kikao kujadili masuala mbalimbali ikiwemo sheria mpya ya Wahasibu na Wakaguzi. Katika kikao hicho Rais wa Chama cha Wahasibu Tanzania CPA Godvictor Lyimo alimuomba Mkurugenzi huyo kufanyia kazi suala la penalt $500 ambayo inakusudiwa kutozwa wahasibu ambao hawakutimiza masaa ya CPD na Mkurugenzi wa bodi ya Wahasibu na Wakaguzi aliahidi Kulifanyia kazi Suala hilo na Kutoa mrejesho.

Avagroup - Indulging a different taste.