Event Details

Uongozi Imara

Uongozi Imara

Mkurugenzi wa Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania CPA Pius Maneno (wa tatu kushoto), Rais wa Chama cha Wahasibu Tanzania CPA Godvictor Lyimo (wa pili kushoto), Wa kwanza kulia ni Kaimu mkurugenzi wa Chama cha Wahasibu Tanzania Winifrida Ngaraguza, Mshauri wa Chama CPA Kashonda akifuatiwa na Mjumbe wa Balaza la Uongozi CPA Zakia.

Avagroup - Indulging a different taste.