Post navigation Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Prof. Riziki Shemdoe (wa tatu kutoka kulia) akiwa na Viongozi wa Chama cha Wahasibu Tanzania (TAA) ,Wa pili kushoto ni Makamu wa Rais wa Chama cha Wahasibu Tanzania (TAA) CPA Victorius Kamuntu akifuatiwa na Mhazini wa Chama CPA NipaNeema Materu na muwakilishi kutoka KPMG (wa pili kulia) CPA Clemence Marandu. Makamu wa Rais wa Chama cha Wahasibu Tanzania (TAA) CPA Victorius Kamuntu akiwa katika kikao kazi na wadau.