Post navigation Mwenyekiti wa huduma kwa wanachama CPA FARU NURDIN na Wahasibu na Wakaguzi wa NSSF wakijadili masuala yahusuyo taaluma hiyo katika Makao Makuu ya ofisi za NSSF jijini Dar es Salaam. Viongozi wa Chama cha Wahasibu Tanzania (TAA) kwakushirikiana na KPMG walipata nafasi ya mazungumzo na Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali Ndugu Athuman Selemani Mbuttuka (watatu kulia) jijini Dodoma. Wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Mafunzo wa Chama CPA Yona Bulangwahe akifatiwa na Makamu wa Rais wa Chama CPA Victorius Kamuntu. Kutoka kushoto ni Mhazini wa Chama CPA NipaNeema Materu akifuatiwa na watatu ni CPA Clemence Marandu kutoka KPMG.