Skip to content
Tue. Aug 16th, 2022
Home
Who we are
About TAA
Association History
TAA Structure
Why TAA?
News
Downloads
Contact us
MEMBER LOGIN
REGISTER HERE
Contact us
Tanzania Association of Accountants (TAA)
.
Mhasibu House, Bibi Titi Mohamed Road: P.O.Box 459 Dar Es Salaam.
Tel: +255 22 2151814, Mobile: 0769167278 / 0787464523, Email:
info@taa.or.tz
You missed
Uncategorized
Mkurugenzi wa Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania CPA Pius Maneno na Rais wa Chama cha Wahasibu Tanzania CPA Godvictor Lyimo leo tarehe 13/04/2022 wamefanya kikao kujadili masuala mbalimbali ikiwemo sheria mpya ya Wahasibu na Wakaguzi. Katika kikao hicho Rais wa Chama cha Wahasibu Tanzania CPA Godvictor Lyimo alimuomba Mkurugenzi huyo kufanyia kazi suala la penalt $500 ambayo inakusudiwa kutozwa wahasibu ambao hawakutimiza masaa ya CPD na Mkurugenzi wa bodi ya Wahasibu na Wakaguzi aliahidi Kulifanyia kazi Suala hilo na Kutoa mrejesho..
Uncategorized
Mkurugenzi wa Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania CPA Pius Maneno (wa tatu kushoto), Rais wa Chama cha Wahasibu Tanzania CPA Godvictor Lyimo (wa pili kushoto), Wa kwanza kulia ni Kaimu mkurugenzi wa Chama cha Wahasibu Tanzania Winifrida Ngaraguza, Mshauri wa Chama CPA Kashonda akifuatiwa na Mjumbe wa Balaza la Uongozi CPA Zakia .
Uncategorized
Sekretariati za KPMG na TAA wakiwa kwenye Picha ya Pamoja mara baada ya hafla ya Makubaliano 26/03/’22.
Uncategorized
Viongozi wa KPMG na Viongozi wa TAA wakiwa kwenye picha ya Pamoja mara baada ya kuwekeana saini Makubaliano ya Ushirikiano.